Monday, February 11, 2013 1:08:32 PM
VITA KALI YAIBUKA MAENEO YA KATORO MKOA MPYA WA GEITA IKIHUSIHA IMANI ZA KIDINI.
Habari toka katika vyanzo vyetu vikuu ni kuwa,kumetokea mauaji ya kutisha baina ya waumini wa madhehebu ya Kikristo na Waislam kuhusu nani anapaswa kuchinja,shuhuda wetu anatuhabarisha ya kuwa leo majira ya asubuhi kumetokea vurugu kubwa baada ya Wakristo kuchinja ng'ombe na kupeleka nyama buchani kitendo ambacho Waislam hawakuafiki na kuamua kwenda kuitoa nyama hiyo buchani,ndipo vurugu kubwa zikazuka na kupelekea watu wawili kupoteza maisha na kadhaa kujeruhiwa.Kwa habari zaidi endelea kufuatilia blog yetu tutakujuza zitapotufikia.