KATIKA HARAKATI ZA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU BIBI YANGU
Wednesday, February 6, 2013 4:17:42 AM

Hii ni siku ambayo sintokaa niisahau katika maisha yangu,kwa mara ya kwanza nafika Ukerewe maeneo ya Bwiro Kisiwani ambako ni nyumbani kwao na mamangu mpendwa,nilidhuru katika Kaburi la bibi ambaye alikufa miaka 46 iliyopita


