This topic has been closed. No new entries allowed.
You need to be logged in to post in the forums. If you do not have an account, please sign up first.
Tanzanian women
Inanisikitisha sana kwa wanawake wa Kitanzania pale wanapotokea kuiga tamaduni za watu wa Magharibi bila kujari athari zatke. Walio wengi hutumia kigezo cha kwenda na wakati japokuwa kuna vitu vingine vinawashushia hadhi zao bila ya wao kujua.Tuchukulie mfano mdogo wasanii wetu, utakuta wamekuvalia vimini na vipopu vinavyoacha wazi vitovu vyao, sasa hapo huyo msanii sidhani hata atakachokiimba kitakuwa na maana ya kuelimisha jamii ya Kitanzania bali atakuwa anawaelimisha Wamarekani kwani hayo hawayashangai.
Hivyo ningewaomba dada zetu wajitahidi kujisitili ili kulinda heshima yetu kama Watanzania.
Originally posted by japhetelia:
Inanisikitisha sana kwa wanawake wa Kitanzania pale wanapotokea kuiga tamaduni za watu wa Magharibi bila kujari athari zatke. Walio wengi hutumia kigezo cha kwenda na wakati japokuwa kuna vitu vingine vinawashushia hadhi zao bila ya wao kujua.
Tuchukulie mfano mdogo wasanii wetu, utakuta wamekuvalia vimini na vipopu vinavyoacha wazi vitovu vyao, sasa hapo huyo msanii sidhani hata atakachokiimba kitakuwa na maana ya kuelimisha jamii ya Kitanzania bali atakuwa anawaelimisha Wamarekani kwani hayo hawayashangai.
Hivyo ningewaomba dada zetu wajitahidi kujisitili ili kulinda heshima yetu kama Watanzania.