Tuesday, February 12, 2013 9:37:02 AM
jana vigogo wa kuwania urais walionyesha uhasimu wakiwa kwenye mjadala lakini baadae walipigana mabusu na kupigana vifua kumaanisha bado wao ni marafiki kitu ambacho wakenya tunafaa kujua tukipigana sababu yao sisi ni wajinga! we should grow up! amani amani amani ni muhimu vita havijengi! sisi ni one blood one nation!









