Sunday, April 22, 2012 9:32:13 PM
wakati bunge likiendelea Mbunge wa Ludewa amekuwa mwiba kwa mawaziri wanao fuja Fedha za umma na kutaka kuwa mawaziri wote wanaoiba Fedha ya umma wapigwe risasi ikiwezekana kunyongwa, ambapo kauli hiyo imepokelewa vyema na wanaludewa wakijilinganisha na maisha magumu wanayo ishi kutokana na ubovu wa huduma za jamii ambapo zile pesa zingeweza kuwasaidia,






