Monday, April 2

joshua sumari chaguo la ARUMERU MASHARIKI!

ni mda mwengine kwa kilio kwa chama chamapinduzi kuomboleza baada ya kuomboleza kifo cha mbunge wao wa jimbo la arumeru mashariki na sasa ni kilio chapili tena kuomboleza baada ya kinyang'anyiro cha kumchagua mbunge wa kumrithi mbunge alitutoka na kuliwakilisha wananchi wa jimbo hilo bungeni.
~ni somo kwa ccm kujiuliza wapi walitenda kosa hadi kupoteza jimbo hilo.
~napenda kumpongeza mwanachi alie shiriki kupiga kura kwani ndio chaguo la moyo wao kwa kuona mema kwa chadema au baya kwa ccm.
~nathani kilicho mfanya raia kufikia uamuzi mkuu waliofikia nadhani yote ni kutokana na walicho kiamini ni njia ya kutatua matatizo yao ya kihistoria,kutokana na waliowaongoza miaka ya historia.
~ila umuhimu wa vyama pinzani tumeona arumeru,kwani ardhi ilikuwa tatizo imerudi kwa shinikizo la uchaguzi.la ardhi limetatuka na mengine yalio baki na yafanyiwe kazi ndani ya mshindi teule kujiwekea imani kwa wananchi.
May 2013
M T W T F S S
April 2013June 2013
1 2 3 4 5
6 7 8 9 10 11 12
13 14 15 16 17 18 19
20 21 22 23 24 25 26
27 28 29 30 31