photo of Cathbeth Charles Mwingizi (xuca)

Je unamaoni au ushauri Usisite kututumia kupitia => +255716800840 pia kwenye FACEBOOK => Cathbeth Charles(xuca) na TWITTER => @cathbethcharles

FID Q amefunguka na Maswali aliyo ulizwa leo kwenye TWITTER

Jumapili hii Fareed Kubanda
aka Fid Q ametoa nafasi kwa
watu wanaomfollow twitter
kumuuliza maswali. Yafuatayo
ni miongoni mwa maswali
hayo na namna alivyoyajibu
katika topic aliyoipa jina la #
AskFidQ.
1. Kitu gani kitakufanya
unyoe nywele?
Fid: Mama yangu mzazi
akisema dread
hazinipendezi.
2. Kwanini humpendi
Cabo Snoop?
Fid:Yale mauno yake ya
kike
3. Una lipi kuhusiana na
mtu akifa ndo
anaonekana muhimu?
Fid: Huwa naona kama
ni unafiki fulani hivi au
nakosea?
4. Hivi itakuaje Fei
akifuata nyanyo zako?
Fid: Sio mbaya sana
japokuwa mie binafsi
nisingependelea afuate
nyayo
5. Unadhani muziki
unaofanya umekupeleka
pale unapopataka
wewe?
Fid: Ndio.. Nilipotoka ni
mbali sana.
6. Ikitokea uchague
kuandikiwa ngoma na
mc mwenzako, yupi
ungependa akuandikie?
Fid:Zavara
7. Ni muda upi sahihi
kwako kuingiza vocal..
Day or 9t
Fid:9t
8. Ulishawahi
kuzinguana na Clouds
Fm?
Fid:Wewe ushawahi
kusikia?
10. Artist gani wa
mbele una dream
kufanya nae ngoma siku
moja?
Fid:Lauryn Hill
11. Je..! ulishafikilia
kutoa ngoma na Kala
Pina au mtu yoyote wa
kikosi?
Fid;Nishawahi kufikiria
kutoa na Hasheem Dogo
12. Ni muda mrefu
hajatokea msanii mpya
wa Hip hop toka
Mwanza akahit kama
wewe, unadhani ni
kwanini?
Fid;Hata sijui aisee
13. Ni punch gani kali
na zenye focus kati ya
Nick Mbishi na Stamina?
Fid; Mbishi
14. Ukiwa umechili
home unaskilizaga
ngoma zipi,za bongo au
mbele?
Fid;Za akina Mbaraka
mwishehe na wazee
wenzake wote
15. Nitajie wasanii 2
unaowakubali hapa 255
Fid:GraceMatata na
Jaydee
16. Ukiwa na stress
unafanyaje?
Fid;Nakunywa Juice ya
tende kisha nalala
17. Kwanini wsanii wa
Uganda na baadhi
Kenya ni matajiri lakini
bongo wasanii ni
masikini?
Fid; Muziki upo
Tz,awards Kenya na
Mkwanja Uganda!
18. Wewe siyo mjuaji
sana lakini mengi tu
unayajua,kuna wasanii
mafreemason bongo?
Fid:Hakuna na kuamini
hivyo ni ujinga
19 Kati ya GNL na Navio
nani unamzimia toka
Uganda?
Fid: Navio
20. Can u rank piracy
problem in east Africa?
TZ tupo nafasi ya
ngapi?
Fid:Ya kwanza.. Zenji na
lake zone hawauzi
orijino
21: Eti Fid unaoa lini?
Fid:Bado nipo nipo
kwanza
22. Una mchumba?
Fid:Nimtolee wapi?
Wenye bahati hiyo
wanahesabika dada
yangu @hellenbagala
23. Producer gani
unaemkubali Tanzania?
Fid:Kwasasa ni TexaZ
24: Niliwahi kusikia
Kikosi wanakudiss
kwenye ngoma zao.
Ulijisikiaje? Na
ulichukua uamuzi gani?
Fid: Wa kiume.

BREAKING NUUUUUZIt’s Monday Beginning of the week to start ...

How to use Quote function:

  1. Select some text
  2. Click on the Quote link

Write a comment

Comment
(BBcode and HTML is turned off for anonymous user comments.)

If you can't read the words, press the small reload icon.


Smilies

May 2013
M T W T F S S
April 2013June 2013
1 2 3 4 5
6 7 8 9 10 11 12
13 14 15 16 17 18 19
20 21 22 23 24 25 26
27 28 29 30 31