lyricks=kazi ni kazi!
By John leonardjleonny. Wednesday, May 2, 2012 3:59:48 PM
"bora halali"
nakaza buti,natoka nduk mithili ya risasi out of bunduki,nasaka noti!NOTE!...wera ni wera!kazi ni kazi!ilihali halali,jleo silali daily mikiki mikiki kufanikisha music deal as my world needs it,need rhymes makini,swaga zenye utamu wa asali,kumrithi suleiman kimaadili!sio kwamba mkali,wapo wakali wenye hadhi yakuzifanya hizi kazi kuwa halali,kukita zako ngome za ngoma za yako maskio,vikibaki vilio kwa wanoko tukipitisha maadili kwa jamii,ni kazi ya wewe na nanii mkiwa na mimi.naumiza akili msoto ni mkali mithili ya sunami ama apolo underground na miss za misfire.ndugu ni nani?ndugu aishie kwa kujali!awe jirani,rafiki asiwe tu mnafiki,nathani mnaafiki!ni yangu ashki to take this to a win,my tempers are high for how dare you needs this,i hustle the best to make you have life best wished wish.music is my wish same to your wish,i want it out,though no body wants me out.kusaka riziki si kazi,kazi kusaka halali riziki nje ya imani za kumtoa wetu ndugu albino,please say no!pili pigana na hongo itoke nje ya bongo kisha tumia ubongo tufike salama kwenye komo za kingo za maisha haya noma!kazi ni kazi kazana na kazi halali coz wera ni wera be out of worries!
kazi na kazi,wera ni wera nasisitizia vyote vizazi,wazazi pigeni kazi bora iwe halali.shambani ni kazi,mitaani bunini kazi,ofisini chapeni kazi.wabunge maovu wekeni wazi nayo ni kavi,mitindo bunini vazi nayo ni kazi nataka vazi nitoke na kipya kizazi cha tanzania.kazi ni kazi dharau weka kapuni,vimini koma na mimi.heshima baina yako na mimi,nachanya kusaka mkwanja kama unavyochanja katani kupata nyuzi kusuka kitani,maji huwasha.ukiacha ndo umeshakwisha faida hutopata.ofcourse kazi ni kazi,wera ni wera na hongera ulie toka.nivipi nitatoka si tu na motokaa bali na kukinusuru kizazi kilicho choka cha asili ya nyoka.nishike mtutu?hapana!kisu kisicho butu?sinto thubutu!nishike runge niwatoe manundu? nayo ni noma!niasi amri za mungu?hapana1yanipa machungu kumniga wangu nigger ni ujinga.kuwa na bifu za baba ubaya kwa kutenda mabaya kuwa na haya,sinto fuata moto za wangu msela nyokaa alietutoka kiama na hukumu za ahera,nikurudisha kizazi cha nyoka.nasakaka kazi halali!wera halali na sio batili.













