Sunday, July 15, 2012 12:09:41 AM
chop my money'' this is the hit song of p square who lose their mother.
Innallilah wainalillah rajiun
Sunday, May 20, 2012 10:02:47 PM
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19, nimemaliza form 4 mwaka 2011, kwa sasa niko home dodoma na niko naangalizia kazi coz napenda sana mambo ya usanii na napenda sana mambo ya internet kuhusu mambo ya blogs ila vitendea kazi na wadau ndo tatizo ila mimi niko tayari kufanya na wewe kazi.
Kama vp unaweza wasiliana na mimi kupitia e-mail yangu abdallahmgeleka@gmail.com.
Pia unaweza kunifollow twitter kupitia twitter.com/dullah_platnum.
Nitashukuru sana kufanya kazi na wewe..